Features Kesha La Asubuhi
Download app hii ili kuweza kusoma kwa urahisi kitabu cha Kesha la asubuhi, app kwaajili ya simu ili kumuwezeaha mtumiaji wa simu janja (smartphone) kujipatia ujumbe ule ule unaopatikana katika kitabu harisi cha Kesha la asubuhi.Hii ni app ya bure kabisa na haimuhitaji mtumiaji kufanya malipo yoyote ili kutumia au kusoma sehemu yoyote ndani ya app.Pakua app hii ya Kesha la asubuhi, na hakikisha unasoma kwa kufata tarehe husika kulingana na somo la siku hiyo.
Kabla hujaanza kusoma ni vizuri ukamuomba Roho Mtakatifu ili kuongoza katika fasili sahihi, na kwakufanya hivyo imani yako itazidi kukua siku hadi siku na utazidi kubarikiwa na kuandaliwa kiroho kwaajili ya maisha baada ya maisha haya.
Smart Home
Control and monitor your home with smart features.
Offline Mode
Use the app without an internet connection. Your data syncs when you're back online.
See the Kesha La Asubuhi in Action
Get the App Today
Available for Android 8.0 and above